Kweli,kwa mtaji huu, safari bado ni ndefu...
Hakuna cha kushangaa hapo hata Huyo JK ni matunda ya hivyo vyuo...Alichisoma ndiyo anachofanya sasa
sio wasomi wote ni ccm mimi niko chuo ila siipendi ccm toka moyoni kwangu imekuja tu automatical naipenda CHADEMA hao ni mamluki tu njoo chuoni kwetu afu uongee habari za ccm uone watu wote watakimbia
Kweli,kwa mtaji huu, safari bado ni ndefu...
ReplyDeleteHakuna cha kushangaa hapo hata Huyo JK ni matunda ya hivyo vyuo...Alichisoma ndiyo anachofanya sasa
ReplyDeletesio wasomi wote ni ccm mimi niko chuo ila siipendi ccm toka moyoni kwangu imekuja tu automatical naipenda CHADEMA hao ni mamluki tu njoo chuoni kwetu afu uongee habari za ccm uone watu wote watakimbia
ReplyDelete