Msanii wa kizazi Kipya Diamond aka Mzee wa Mbagala ametengeneza kibao kipya mapema wiki hii ndani ya Studio za URBAN PULSE CREATIVE maalum kwa ajili Urban Tour war on Malaria. Kibao hicho cha kusisimua kinaitwa LALA SALAMA kimeangushwa na Producer Young Josh na Salim kutoka URBAN PULSE. Ili kuwapa mafans wake burudani ya ukweli Diamond ataperfom LALA SALAM kwa mara ya kwanza kwenye show zake za mwisho ambazo zitafanyika:
CLUB AMBASSADOR
20 LONDON ROAD
BARKING, 1G11 8AJ
CLUB AMBASSADOR
20 LONDON ROAD
BARKING, 1G11 8AJ
BARAKA, FRANK NA DIAMOND WAKIJADILI MWELEKEO WA NYIMBO MPYA YA DIAMOND. |
DIAMOND AKITUNGA NYIMBO MPYA NA URBAN PULSE |
116 GAR GOSFORD STREET
PALMS BAR
COVENTRY
CV1 5 EA
Kiingilio ni £10 kabla ya saa sita usiku.
Tafadhali wahi mapema na pia tunaomba mpe taarifa mwenzako.
WOTE MNAKARIBISHWA
Asanteni sana,
URBAN PULSE CREATIVE
0 comments:
Post a Comment