Friday, 30 September 2011

...

Nimetumiwa na mdau Tluway Tsere,nami naiwasilisha kama ilivyo Habari za asubuhi Ndg. zanguTutafakari hii hadithi fupi, kwani mimi sikulala usingizijana baada ya kusikia kuwa Tuzo ya Rostam Aziz imekubaliwaena mahakama kuu. Watakaolipa si Tanesco bali ni sisi watumiajiwa umeme."tutafakari" .An airplane...

Tuesday, 27 September 2011

Kwanza kabla hujasoma makala hii ningekushauri usome makala ya Bwana Omar Ilyas katika blogu yake,makala iliyobeba kichwa Chadema Ishinde kwa Kushindwa. Natumaini baada ya kuisoma tunaweza kuelewana kwanini ninatofautiana na uchambuzi wa Bwana Ilyas.Katika paragrafu ya kwanza tu,mwandishi ameshahitimisha...

Monday, 26 September 2011

Wajuzi wa mambo wanadai kuwa moja ya mambo yanayopunguza ufanisi wa Idara yetu ya Usalama wa Taifa ni tabia iliyoota mizizi ambapo kila kigogo anataka kumpatia mwanae,mpwae,mtoto wa rafiki yake,nk katika ajira ya taasisi hiyo nyeti.Haina ubaya kutoa ajira iwapo mwajiriwa mtarajiwa atakuwa na sifa husika.Lakini...

Saturday, 24 September 2011

Mchungaji aliyetibuana na kanisa lake ameanzisha kanisa la Facebook.Mchungaji Mark Townsend (44),ameanzisha kanisa analoliita The Hedge-Church baada ya kuhitilafiana na wazee wa Church of England.Katika kuchangisha fedha,mchungaji huyo  pia anamiliki tovuti ya kukodisha mchungaji,ijulikanayo...

Friday, 23 September 2011

Huwa ninapenda kuwasilisha habari nyingi za kimataifa katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.Unajua,tusipokienzi Kiswahili sie wenye lugha sijui nani atakayejihangaisha nacho.Ukienda Twitter ni kimombo kwenda mbele,japo angalau kwenye Facebook Kiswahili bado kinatawala.Sasa habari ifuatayo ni ya kisayansi...

Setalaiti 'chakavu' yenye ukubwa unaolingana na basi la abiria inatarajiwa kuanguka duniani kutoka angani muda wowote hivi sasa.Awali setalaiti hiyo ya Shirika la Mambo na Anga la Marekani (NASA) ilitarajiwa kuanguka duniani usiku huu (kwa saa za hapa Uingereza ambazo ni masaa mawili mbele huko nyumbani...

Hatimaye mfungwa maarufu kuliko wote nchini Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni,Bwana Amatus Liyumba ameachiwa huru leo.Haijafahamika kama amemaliza kifungo,au amepewa msamaha wa Rais au muda wa kipindi cha maigizo umekwisha.Na kwa vile fisadi huyu ameachiwa,je wewe mlipakodi umenufaika vipi na kifungo...

Thursday, 22 September 2011

Raia Mwema UghaibuniYa Usalama wa Taifa na teuzi za Rais Kikwete!Evarist ChahaliUSKOCHI21 Sep 2011Toleo na 204“KATIKA kupambana na uhalifu, hakuna njia ambayo - kama inaweza kuleta ufanisi - haitotumika. Kama inazingatia sheria, maadili, na inafanywa kwa nia nzuri, nipo tayari kuifanyia kazi...tumeajiriwa na tunalipwa kupambana na uhalifu, na hicho ndicho nitakachofanya...” .Nukuu hii inapatikana katika hotuba ya kwanza ya Mkuu mpya wa ‘kanda kuu’...

Tuesday, 20 September 2011

Kama kuna hoja inayotawala zaidi kuliko nyingine kwenye blogu na maandiko mengi ya wengi wa mabloga wa kike wa Kitanzania ni hii ya hisia kwamba WANAUME WA KITANZANIA SI WAAMINIFU KWENYE MAHUSIANO.Ninaposema inatawala simaanishi kuwa huo ndio mtizamo wa mabloga hao bali ni kitu kinachojitokeza mara...

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget