
BLOGU HII INAPENDA KUTOA SALAMU ZA HERI YA SIKU YA KUZALIWA KWA JARIDA MWANANA LA RAIA MWEMA AMBALO LILIZALIWA SIKU KAMA YA LEO MIAKA MINNE ILIYOPITA.BINAFSI,JARIDA HILI NI KAMA SEHEMU YA MAISHA YANGU.TANGU WAHUSIKA WANIPATIE NAFASI YA KUANDIKA KATIKA JARIDA HILO KWWENYE SAFU YA TAIA MWEMA UGHAIBUNI...