Mario Balotelli akifungua ukurasa wa mabao
Mpende au mchukie lakini Mtaliano huyu mweusi ni moto wa kuotea mbali
Kama kawaida yake,Balotelli haishiwi vituko.Hapa akionyesha maandishi "Kwanini Mimi?"
Balotelli akitundika bao la pili
Aguero akiandika bao la tatu
Dzeko akifunga bao la nne
Silva akitundika bao la tano
Dzeko akifunga bao la sita
Mashabiki wa Manchester City wakishangilia kipigo ha haja kwa majirani zao wa Manchester United
Kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson akiwa hoi
Kocha wa Manchester City Roberto Mancini akifurahia kazi ya vijana wakeCHANZO: DailyMail
0 comments:
Post a Comment