ILIKUWA SIKU,WIKI,MIEZI NA SASA UMETIMIA MWAKA TANGU BWANA ALIPOKUCHUKUA MPENDWA WETU MAMA ADELINA MAPANGO (Mama CHAHALI).PENGO ULILOTUACHIA HALITOZIBIKA MILELE.KINACHOTULIWAZA NI MAPENZI YA BWANA.JAPO SIE TULIKUPENDA,LAKINI YEYE ALIKUPENDA ZAIDI,NA NDIO MAANA AKAKUCHUKUA SAA4.30 USIKU WA TAREHE 29/05/2008.JAPO HAUKO NASI KIMWILI,LAKINI TUKO SOTE KIROHO.
KWA NIABA YA FAMILIA YA MZEE PHILEMON CHAHALI,NACHUKUA FURSA HII KUTOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WOTE WALIOSHIRIKIANA NASI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KATIKA SALA/DUA WAKATI TUNAMUUGUZA MAREHEMU ADELINA,NA SAPOTI MLIYOTUPATIA KUTUFARIJI BAADA YA MSIBA.BWANA AWABARIKI SANA.
BWANA ALITOA,BWANA ALITWAA.JINA LAKE LIHIMIDIWE MILELE,AMEN.
PUMZIKO LA MILELE UMPE EE BWANA,NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE.APUMZIKE KWA AMANI.AMEEN

Apumzike pema!
ReplyDeletePoleni kwa kuondokewa na mpendwa wenu.
Mungu amlaze mahala pema Peponi AMEN
ReplyDeleteKwa hakika ni vema kumkumbuka Mama ambaye mara zote umekuwa ukieleza mchango wake maishani mwako. Ni vema pia kuendelea kutekeleza yale aliyowekeza katika jamii kwa kuwaonesha ninyi ambao mnashirikiana nasi kwa maneno na matendo.
ReplyDeleteMama alitenda alilotakiwa kutenda na ndio maana wakati wake ulipofika akaondoka, na nashukuru kuwa unathamini kuondoka kwake kama alivyopenda yeye aliyemleta, nasi tukielekea huko aloki tuwe mfano bora na kuwa waelekezi kama alivyokuwa yeye ili wakati wetu ukifika, tuwe tumemaliza kazi yetu hapa tukapumzike naye kwa amani.
Upendo na amani vitawale ndani mwenu katika kukumbuka maisha ya Mama Adelina
Jamani asanteni sana.Mungu awabariki kwa ujumbe wenu wa kuliwaza.
ReplyDelete