Tuesday, 11 May 2010




Gordon Brown has just announced on live tv that he is stepping down as the Prime Minister.It's now clear that the next PM shall be David Cameron.

1 comment:

  1. Kwa wenzetu hili linawezekana.

    Bongo hata kama Rais angeharibu kwa kiwango kinachozidi tafsiri ya ubovu, hawezi kuwapo raia wa kumwajibisha na akawajibika. Na yeye kwa kutambua kuwa asilimia sabini na tano ya watu wake wanafuata mwelekeo wa upepo wa wajanja wasiozidi asilimia 15, basi anachoweza kukifanya ni kuimarisha idara ya propaganda za uwongo na kweli kukebehi wananchi katika kasuala ya msingi.

    Nadhani utafika wakati ambapo na Bongo tutaanza kusikia maamuzi kama haya kwa Marais wanaoshindwa kukidhi matarajio ya wapiga kura.

    Huu mtindo wa kujitetea kwa mamabo ambayo ni wazi, tukikwepa kuchukua hatua kwa kulinda heshima binafsi hauwezi kutusaidia.

    Tumwige Brown.

    ReplyDelete

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget