ONYESHO MAALUM LA FILAMU £OVELY GAMBLE TAREHE 29TH OF MAY 2010. KARIBUNI KUCHANGIA YATIMA WALIOATHIRIKA NA UKIMWI TANZANIA NA JUMUIA YETU YA TANZANIA. WATOTO HAWA WANAANGALIWA NA TANZANIA MITINDO HOUSE INAYOENDESHA SHUGHULI ZAKE TANZANIA.
JUMAMOSI TAREHE 29/05/2010.
SAA 12 Jioni MPAKA SAA 5NA NUSU Usiku.
WYCLIFFE VENUE,
233 KINGS ROAD,
READING, RG1 4LS.
VILEVILE KUTAKUWA NA CHAKULA, VINYWAJI, BURUDANI YA MIZIKI NA VICHEKESHO . NYOTE MNAKARIBISHWA NA KUFIKA KWENU NDIO KUFANIKISHA SHUGHULI HII. TUNAWAOMBA MJE KUSAIDIA WATOTO HAWA NA JUMUIYA YETUWETU.
DRESS CODE: LADIES: DRESS SEXY & GENTS: SMART
MUSIC: LIVE MUSIC, AFRO BEAT, BONGO FLAVOR, HIP HOP, MDUARA AND RNB
TIKETI ZIPO KUANZIA £10 KWA VITI VYA VIP’s NA £5 KWA VITI VYA KAWAIDA.TIKETI ZINAPATIKANA –
SWIFT FREIGHTS UK (TZUK) – LONDON 0208 801 9800
AFRICANS IN LONDON TV (TINA) – LONDON
MOUDY – LONDON 078884441222
KAYE MARIE – LEICESTER 0794665430
BARAKA - LEICESTER 07909260435
BONGO FLAVOUR – READING 0118 958 5878
VINCENT BAR – READING 0118 959 3130
TANZANIA ASSOCIATION – READING 07865673756
FRANK – READING 07865594576
INFO:urbanpulsecreative@googlemail.com www.wix.com/effeort111/urbanpulse-tmh
http://www.youtube.com/watch?v=zNltrl096hU
0 comments:
Post a Comment