Tuesday, 18 May 2010
- 13:45
- Unknown
- DAVID CAMERON
- 2 comments
Watawala wetu waache magari yao ya kifahari wachekwe?Nchi tajiri lakini viongozi wanaishi kawaida,lakini sie masikini na ombaomba wa kutembeza bakuli viongozi wetu wanaishi kifahari kama wafanyabiashara matajiri.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MMbio za sakafuni huisha ukingoni
ReplyDeleteViongozi wa watanzania hawawezi kufanya hivyo kwa sababu ya mazingira waliotegeneza kutokana uongozi kuwa unabariki rushwa hivyo kupelekea huku mtaaani kwetu kuwa siyo sehemu ya amani hivyo wanaogopa kushambuliwa na wananchi wavunja sheri kama vile wezi na waporaji nk...Ingawa sababu kuu za hao wahaalifu wadogo inatokana na wao kuwalinda na kujilinda wahaalifu wakubwa
ReplyDelete