Binti mdogo na mrembo ambaye yuko kwenye £ovely Gamble anaitwa Ann-Lyyn Kapinga anacheza part ya Jasmeen. Huyu binti ni actress wa ukweli kwa sababu anasomea fani hii na huwa ana perform kwenye theatres tofauti za South of England.
Mahojiano haya yamefanywa na Watayarishaji wa kipindi cha ALL ABOUT WOMEN ambacho presenter wake naye ni Dada wa kibongo aitwaye Tina George, Kipindi hiko hurushwa kwenye vituo vya television vya AILTV na Ben TV huku UK.
Onyesho maalum la Filamu ya £ovely Gambl kuchangia watoto yatima wanaoishi na virusi vya UKIMWI Litafanyika
JUMAMOSI TAREHE 29/05/2010.
SAA 12 Jioni MPAKA SAA 5.30 Usiku.
WYCLIFFE VENUE,
233 KINGS ROAD,
READING, RG1 4LS
WATANZANIA WOTE WA UK MNAKARIBISHWA
------------------------------------------------------------------------
------------------------------------------------------------------------
0 comments:
Post a Comment