Tawala,viongozi na wafanyakazi wa African Star,Afro Euro Events Management, Buzzie Production, Manamba Studio na Urban Pulse. Wanatoa shukurani zao za dhati kwa Watanzania wote waliojitokeza usiku wa jana 29/05/2010 kwenye onyesho maalum la ‘£OVELY GAMBLE’ kuchangia watoto wanaoishi na vijirusi vya UKIMWI nyumbani Tanzania. Watoto hawa wanaangaliwa na TANZANIA MITINDO HOUSE. Hakika ya kweli mmeoonyesha umoja ambao tunauthamini na hatutousahau.
Vilevile tungependa kuwatambua watu wafuatao, ambao kwa njia moja ama ingine wmesaidia sana kufanikisha Onyesho hili maalum
UBALOZI WA TANZANIA (mama Balozi na Maafisa wote wa Ubalozi)
TANZANIA ASSOCIATIONS zote Kitaifa na matawi ya Reading, Birmingham na Soctland
BONGO FLAVOUR (Dixon na Flora)
TMH (Khadija Mwanamboka)
SWIFT FREIGHT (Abu Faraji)
SWAHILI TRAVEL AGENCY (Tino)
VINCENT BAR (Kalinga na Gado)
MAMA MAYOR (Mariam Nice)
NOCHA SEBE
MISS YVONNE
WITENGERE KITOJO
TEGEME CHAMPANDA
FRANCIA CHENGULA
FREDDY MACHA
AYOUB MZEE
RASHIDI KAWAWA
ALLY MUHIDINI
KULIKONI UGHAIBUNI ( Evarist Chahali)
Vyombo hivi na Watanzania hawa wamekuwa mstari wa mbele katika kufanikisha Onyesho hili maaaluma la mchango wa kihiyari. Mungu awaongezee na tuendeleze umoja huu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU WABARIKI WATANZANIA
0 comments:
Post a Comment