Urban Pulse Production inawaletea burudani na matukio yaliojiri ndani ya Michuano ya kumtafuta Miss & MR East Africa UK 2010 yaliyofanyika 3rd July 2010 Mjini London.
Katika kinyang'anyiro hicho binti Randa Shelbly kutoka Eritrea alinyakua kombe la miss east Africa UK wakati mchizani Degnite Abdeta Dauggie ndio alichukua Mr East Africa UK.
Wadau karibuni kushuhudia tukio hili la kipekee kwa kubofya hapo chini.
Libeneke Oye
asanteni na Wote Mbarikiwe
Frank Eyembe
Urban Pulse Creative
0 comments:
Post a Comment