Pichani juu kitabu cha cha sanaa cha comic kinachoitwa TOM & JENNY IN TANZANIA ambacho kilikuwa kinasubiriwa kwa muda mrefu, na sasa kitabu kimetoka.Unaweza kukipata jijini Dar es salaam na vilevile wachapishaji wanaweza kuwatumia wasomaji walio nje ya Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.
----------------------------------------------------------------------
Joe
Baseline Africa
0 comments:
Post a Comment