Wednesday, 28 March 2012

Humiliation: Jose Gonzales has to stand carrying this sign on a street corner after his father caught him stealing $100 from his cousin
Pengine badala ya kuwabebesha mzigo walipa kodi kwa kuwapeleka gerezani mafisadi (ndoto isiyowezekana)-ambako watakula na kulala bure- adhabu mwafaka kwao ingekuwa kuwatembeza mitaani wakiwa wametundikwa mabango yenye kueleza makosa yao.Na hapa chini tunapewa darasa mwafaka la namna ya kutekeleza adhabu hiyo ya kudhalilisha.

Mzazi mmoja huko Denver nchini Marekani aliamua kumpa mwanae adhabu ya kutembea na bango linalotamka bayana kuwa "Mie ni mwizi, nimeiibia familia yangu." Angalia picha hapo juu pamoja na video hapo chini, kisha bonyeza kiungo kusoma habari kamili



CHANZO na kwa habari kamili: Daily Mail

Related Posts:

  • MAZINGAOMBWE YA RICHMOND: THE LATEST EPISODESERIKALI imeshutumiwa kwa kuibua hoja ya 'posho mbili' kwa wabunge ili kuzima kashfa ya Kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Richmond Development (LLC) iliyobuni mkataba wa kifisadi kati yake na Shirika la Umeme Tanzania (Tan… Read More
  • UFISADI OFISI YA BUNGEna Charles MullindaIMEBAINIKA kuwa, Ofisi ya Bunge imetumia vibaya mamilioni ya shilingi yaliyotolewa na serikali kwa ajili ya uendeshaji wa ofisi hiyo katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2007/2008.Hayo yamebainishwa na baad… Read More
  • TAMATI YA RICHMOND BUNGENI: CCM MMETUSALITIBaada ya danadana za muda mrefu ndani na nje ya bunge,hatimaye mjadala wa ujambazi wa Richmond umefungwa rasmi.Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kutoka Dodoma,bunge limeridhia taarifa ya utekelezaji wa Azimio lake kuhusu s… Read More
  • MAZINGAOMBWE YA RICHMOND YANAKIFUDANADANA KUHUSU SUALA LA RICHMOND IMEZIDI KUENDELEA.BINAFSI SIDHANI KAMA SUALA HILI LITAPATIWA UFUMBUZI UNAOSUBIRIWA NA WATANZANIA WENGI.KUPATA UFUMBUZI,KWA MAANA YA KUWEKWA BAYANA UKWELI WA UTAPELI NA UJAMBAZI HUO UTAMAANISH… Read More
  • HUJUMA DHIDI YA MENGI.NAOMBA KUWASILISHAMZALENDO MMOJA AMENITUMIA UJUMBE UFUATO KWENYE E-MAIL,NAMI NAOMBA KUUWASILISHA KAMA ULIVYO: Kuna habari kwamba mmoja wa wafanyabiashara aliyetajwa na Mkurugenzi wa IPP Bwana Reginald Mengi amenunua hisa nyingi za umiliki wa k… Read More

0 comments:

Post a Comment

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget