Moja ya malengo ya blogu hii kwa mwaka huu ni kusherehesha kazi,matukio na mambo mbalimbali yanayowahusu mabloga wenzangu.
Kwa kuanzia basi, ninapenda kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa bloga mwenzetu,Mtanzania anayeishi huko Scandinavia, NAXYLADY ambaye ni mmiliki wa blogu ya AFRICA4LIFE
Ninakutakia siku njema ya kuzaliwa pamoja na kila la heri katika maisha yako.
Enjoy your big day
Aaaaw much obliged fellow blogger. God bless you.
ReplyDelete