Watanzania wanaoishi New Jersey na New York City. Wanasikitika kutangaza kifo cha mtanzania mwenzao Adolph aka Brian aka Thadeo Lwakajende kilichotokea tarehe 24 mwezi wa 4, 2011 hapa New Jersey, USA. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu inaendelea huko New Jersey. Ili kufanikisha mipango hiyo wanawaomba watanzania wote popote pale walipo wajiunge nao kusaidia kuchangisha hela za shughuli hiyo. Unaweza kutuma hela kwa kutumia paypal adolffuneralcost@gmail.com au katika site hii ya Adolf sending home fund http://dt.tl/adolfsendhomecost.
Saturday, 27 April 2013
07:01
Unknown
MSIBA
No comments
Related Posts:
Tangazo la Msiba wa Mtanzania MwenzetuMSIBA WA MTANZANIA MWENZETU MZEE SAID MUHAMMAD SIKAMKONOTunaskitika kuwataarifu kuhusu kifo cha Mtanzania mwenzetu Mzee Said Muhammad Sikamkono kilichotokea jana tarehe 11/10/2011 mchana katika hospitali ya Queen Elizabeth, W… Read More
RAMBIRAMBI KUTOKA KWA JONGWEJamaa yangu mmoja mkazi wa Kwa Jongwe (Zimbabwe) kanitumia fedha hii kama rambirambi rambi yake kwa msiba ulionikumba hivi karibuni.… Read More
Breaking News: Mbunge Regia Mtema afariki kwa ajali ya gariHabari za kusikitisha zilizopatikana kwenye mtandao wa jamii wa Twitter na ukumbi wa mijadala ya mtandaoni wa Jamii Forums zinaeleza kuwa Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chadema,Regia Mtema,amefariki kwa ajali ya gari ili… Read More
TANGAZO LA MSIBANINASIKITIKA KUWATANGAZIA KIFO CHA MAMA YANGU MZAZI ADELINA MAPANGO KILICHOTOKEA IFAKARA MOROGORO TAREHE 29/05/2008 NA MAZISHI YALIKUWA JANA TAREHE 02/06/2008 KATIKA MAKABURI YA UKOO WA CHAHALI HAPA IFAKARA.NAWASHUKURU NYOTE … Read More
Pole sana Sophia Mwanauta kwa Kufiwa na mdogo wako mpendwaKWA NIABA YANGU BINAFSI NA WASOMAJI WA BLOGU NINATOA SALAMA NYINGI ZA POLE KWA PRODUCER WA SPORAH SHOW, SOPHIA MWANAUTA, KWA MSIBA MKUBWA WA KUONDOKEWA NA MDOGO WAKE MPENDWA.HAKUNA MANENO MWAFAKA TUNAYOWEZA KUKUPA … Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment