Kwa niaba ya wasomaji wapendwa wa blogu hii,na kwa niaba ya familia ya Chahali (na vijimatawi vyake),naomba kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa rafiki yangu wa karibu na bloga mahiri Haki Ngowi.Licha ya urafiki na ushirikiano wetu kwenye fani ya kublogu,Haki ni mdau mwenzangu kwenye michakato flani (partner-in-crime).
HAPPY BIRTHDAY MKURUGENZI
ha haaaa kumbe tumezaliwa mwezi na tarehe moja hongera na mwenzangu kwa siku ya kuzaliwa uwe na siku njema.....
ReplyDeleteHappy birthday Broda
ReplyDelete