Thursday, 20 January 2011





Tamko La Umoja wa Vijana Mafisadi

ONLY REASON SOME BASTARDS ARE STILL ALIVE IS BECAUSE SHOOTING THEM IS ILLEGAL.SERIOUSLY.

3 comments:

  1. Hawa uvccm... hawajui hata namna ya kujenga hoja...wanachanganya mambo tu...umbea...hoja ...jifunzeni kuandika kwanza.

    ReplyDelete
  2. Hawa naona wanaweza kujitokeza kifua mbele na kujiita vijana wa Tanzania, subiri baba yako aondoke madarakani halafu tuanze kuwadai pesa za watanzania mlizotumia kufanyie kampeni za kifamilia. Wenyewe kwa kauliza zao hizi za kijinga ndiyo kwanza wanatakiwa kupelekwa mirembe.

    ReplyDelete
  3. Malkiory umenena. Wanapaswa kusoma kurasa kutoka kwenye kitabu cha yaliyotokea Tunisia hivi karibuni. Kama watunisia wangemkamata rais au mkewe wanayemchukia kama sisi na Anna Mkapa na Salma wangemchoma moto kama kibaka. Hawa washenzi wanajichanganya mara Dowans isilipwe mara Sitta na Mwakyembe wakitoe. Unashindwa kuelewa hata hizo elimu wanazosema kuwa nazo kama hawakughushi kusema ukweli.
    UVCCM wanajaribu ku-pre-empty ambacho kinapangwa na baba zao.
    Kukataa Dowans kulipwa ni kukataa Kikwete asitawale Tanzania. Kama wao wanasema mawaziri wanaopingana wakitoe wao mbona wanapingana na chama chao na hawakitoi

    ReplyDelete

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget