Chadema Pwani Wameonyesha Njia Kuitwisha Gharama SerikaliPengine wakati uongozi wa Chadema mkoani Pwani ulipochukua uamuzi wa kuahirisha mkutano wao wa hadhara-baada ya "intelijensia yao kubainisha kuwa jeshi la polisi lilikuwa na njama za kuzusha zahma kama ile ya Arusha-hawakufah…Read More
Picha Zinazoweza Kumwangusha Tena KikweteMSIBA WA MASHUJAA WALIOUAWA KWA AMRI YA DIKTETA JAKAYA KIKWETE SARAFINA THE FUNERAL SONGPICHA NA VIDEO KWA HISANI KUBWA YA MTANDAO NAMBARI WANI Jamii Forums.KWA HABARI KAMILI SOMA HAPA.…Read More
Picha Zitakazomsuta Kikwete Hadi KaburiniPICHA KWA HISANI YA VYANZO MBALIMBALI MTANDAONI.INTELIJENSIA YA KUBASHIRI KUWA MAANDAMANO YA AMANI YATAISHIA KUVUNJA AMANI-IPO.INTELIJENSIA YA KUMJUA MMILIKI WA KAGODA HAIPO.INTELIJENSIA YA KUMTAMBULISHA MMILIKI WA DOWANS HAI…Read More
shukurani kwa picha. inasikitisha kuacha familia wakiwa kwa mauaji kutoka vyombo vya dola, lakini pia inatia moyo kumbe watu hawajaogopa wameamka wengi kuwasindikiza hao mashujaa waliolala,Mungu ndio mtoaji faraja
CCM wasahau kabisa Arusha for many years to come. Hili jimbo halifai hata-kuchakachua maana unaweza kutolewa roho.I hope upinzani will take this opportunity kuleta maendeleo ya kweli, na ku-involve wananchi wawe part of the development process. Peoples power!!!!!
PEOPLES POWER WAZALENDO, TUSISAHAU KUONGEZA HIZI PICHA TUNAPOENDA KUONANA NA MABALOZI, MP'S N.K, UHAI HAUTOKI TU, NA UNAPOTOKA BILA HATIA, TENA KIUBABE JAMANI!? NA MAANDAMANO YOTE HAYO BILA POLISI, KUNA HATA PANYA ALIYEUWAWA HAPO?
shukurani kwa picha. inasikitisha kuacha familia wakiwa kwa mauaji kutoka vyombo vya dola, lakini pia inatia moyo kumbe watu hawajaogopa wameamka wengi kuwasindikiza hao mashujaa waliolala,Mungu ndio mtoaji faraja
ReplyDeleteNingependa wananchi wa Arusha wamzomee siku atakapokanyaga hiyo ardhi iliyomwaga damu ya raia wasio na hatia.
ReplyDeleteCCM wasahau kabisa Arusha for many years to come. Hili jimbo halifai hata-kuchakachua maana unaweza kutolewa roho.I hope upinzani will take this opportunity kuleta maendeleo ya kweli, na ku-involve wananchi wawe part of the development process. Peoples power!!!!!
ReplyDeletePEOPLES POWER WAZALENDO, TUSISAHAU KUONGEZA HIZI PICHA TUNAPOENDA KUONANA NA MABALOZI, MP'S N.K, UHAI HAUTOKI TU, NA UNAPOTOKA BILA HATIA, TENA KIUBABE JAMANI!? NA MAANDAMANO YOTE HAYO BILA POLISI, KUNA HATA PANYA ALIYEUWAWA HAPO?
ReplyDelete