KAMA TUNISIA WALIFANIKIWA,MISRI NAO WANAWEZA KUFANIKIWA.KAMA TUNISIA NA MISRI WAMEDIRIKI,WAANZANIA NAO WANAWEZA.PENYE NIA PANA NJIA.IT CAN BE DONE IF WE ALL PLAY OUR PARTS.
Kazi ipo hapa polisi wamezidiwa na waandamanaji. Madikteta hawa wanapaswa kuelewa kuwa kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho. Nayasubiri mapinduzi ya watanzania kuwashughulikia mafisadi.
Inawezekana kabisa. Egyptian Polisi wanaweza kuwa wanatunzwa vizuri kuliko hawa wakwetu. Wakwetu wataanza na jazba lakini watasurrender mapema sana. Kwanza hawana vifaa vyakutosha na zaidi ya hapo ni juzi tu wameondolewa yale marupurupu waliyopewa ya danganya toto wakati wauchaguzi. Kwahiyo ni watu wenye njaa na frustration kama wananchi wakawaida tu.Trust me kwamtindo huu Tanzania inaelekea huko. Hakuna kisichowezekana chini ya jua.
Mmmmmh!:-(
ReplyDeleteKazi ipo hapa polisi wamezidiwa na waandamanaji. Madikteta hawa wanapaswa kuelewa kuwa kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho. Nayasubiri mapinduzi ya watanzania kuwashughulikia mafisadi.
ReplyDeleteMmmmh! usiombee yatukute nchini kwetu, wewe umepozi huko UK unataka wenzio tutolewe macho tukiwa hai....Mwenyezi Mungu tuepushie balaa hili
ReplyDeleteInawezekana kabisa. Egyptian Polisi wanaweza kuwa wanatunzwa vizuri kuliko hawa wakwetu. Wakwetu wataanza na jazba lakini watasurrender mapema sana. Kwanza hawana vifaa vyakutosha na zaidi ya hapo ni juzi tu wameondolewa yale marupurupu waliyopewa ya danganya toto wakati wauchaguzi. Kwahiyo ni watu wenye njaa na frustration kama wananchi wakawaida tu.Trust me kwamtindo huu Tanzania inaelekea huko. Hakuna kisichowezekana chini ya jua.
ReplyDeletehuo ndo ukweli ila twaweza?
ReplyDelete