Unajua L.Masha angeyasema maneno haya enzi zile ambapo kulikuwa hakuna vinakili kumbukumbu kama hivi,ingekuwa ni rahisi sana kuja kusema kwamba "amenukuliwa vibaya".Uwezekano huo ni mdogo sana hivi sasa.Nadhani kilichotokea hapa ni over confidence na pia kutosoma alama za nyakati.
Inaweza kuwa kweli Jeff, lakini pia inawezekana Masha aliwaziba midomo watu wasipiganie hiyo nafasi (alicheza foul play). Alivyoona watu hawakumbishia kwa maneno akafikiri ameshawateka kwa vitendo pia. Hapa naona watu wa-Nyamagana wametumia zaidi vitendo kuliko maneno. The more I see the tape the more am proud of those people man! That is a slap in the face for sure!!! Anaambiwa aseme maendeleo aliyoyafanya anazunguka swali. Tanzania sijui inatoa wapi watu kama hawa.
Unajua L.Masha angeyasema maneno haya enzi zile ambapo kulikuwa hakuna vinakili kumbukumbu kama hivi,ingekuwa ni rahisi sana kuja kusema kwamba "amenukuliwa vibaya".Uwezekano huo ni mdogo sana hivi sasa.Nadhani kilichotokea hapa ni over confidence na pia kutosoma alama za nyakati.
ReplyDeleteInaweza kuwa kweli Jeff, lakini pia inawezekana Masha aliwaziba midomo watu wasipiganie hiyo nafasi (alicheza foul play). Alivyoona watu hawakumbishia kwa maneno akafikiri ameshawateka kwa vitendo pia. Hapa naona watu wa-Nyamagana wametumia zaidi vitendo kuliko maneno. The more I see the tape the more am proud of those people man! That is a slap in the face for sure!!! Anaambiwa aseme maendeleo aliyoyafanya anazunguka swali. Tanzania sijui inatoa wapi watu kama hawa.
ReplyDelete