
Mimi ni Rais wenu,na huyu ndiye mwanangu mpendwa ninayependezwa na ufisadi,oops..ujasiriamali wakena Mwandishi wetuRAIS Jakaya Kikwete anakabiliwa na kashfa nzito kutokana na utajiri wa mtoto wake, Ridhiwani. Sasa anatuhumiwa kuitumia Ikulu kumtajirisha mwanawe, ambaye anasemekana ni bilionea.Kwa nyakati...