Inapendeza kuona wadau wakiungana nasi kwenye fani ya kublogu.Na mdau mwenzetu mpya katika fani hii ni mwanadada Rachel,Mtanzania mwenye makazi yake jijini London hapa Uingereza.Blogu yake iliyoanzisha mwezi huu wa Juni inafahamika kama MY PERSPECTIVE (yaani "mtazamo wake" kwa lugha ya taifa) na dhima yake kuu ni mahusiano (relationships),uwiano wa kijinsia (gender balance), maisha (life) na uongozi (leadership).
Blogu hiyo inapatikana katika anwani hii http://miandmyworld.blogspot.com/
0 comments:
Post a Comment