Thursday, 23 June 2011


 
Ndugu, Jamaa, na Marafiki, Watanzania wote;
Kwa masikitiko makubwa tunawataarifu ya kwamba, tumepokea habari za msiba wa mwenzetu EDGAR KILEKE (KAKA DICK). Msiba umetokea leo huko Leicester Uingereza. Marehemu Edgar amefariki baada ya kuugua cancer ya Ini. 

Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kueleke anyumbani kwa mazishi inafanyika. Tunawaomba wote, kwa moyo wa upendo na utoaji, tusaidiane ili tukamilishe maandalizi haya na mwenzetu ili aweze kwenda kupumzishwa kwenye makao yake ya milele huko nyumbani Tanzania. Tunatanguliza shukurani za dhati kwa michango yenu. Wanaoweza kuwatembelea wafiwa na kutoa pole mnakaribishwa na msiba upo kwenye address hapo chini:

89 Stevenson Drive
LE3 9AD
Leicester

Kwa maelezo ya ziada wasiliana na;
Asaa Ali  07951644936
au

Fauzia Musa 07943962628

Kama hutaweza kufika Leicester, unaweza kutuma mchango wako kwa:
A A KAKOZI
Account Number 85065992
Sort Code: 09-01-27
Bank: Santander


Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe.


Asanteni.


R.I.P EDGAR!!


Imetumwa na Miss Jestina

Related Posts:

  • Taarifa ya Msiba: John Bwire wa Raia Mwema Amefiwa na Baba YakeBlogu Hii inapenda kuungana na mwanahabari mkongwe,John Bwire, wa jarida la Raia Mwema,katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa baba yake mzazi .Nimepata taarifa hizo kutoka kwa barua pepe aliyonitumia Bwire leo.Kifo ni k… Read More
  • MSIBA: BLOGA MWANASOSHOLOJIA AFIWA NA MZAZI WAKE Pichani,Mwanasoshojia akimuaga Mzaa chema.BLOGU HII INATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA KIFO CHA MAMA MZAZI WA BLOGA MWANASOSHOLOJIA.HAKUNA MANENO MWAFAKA YANAYOWEZA KUKULIWAZA WEWE BINAFSI NA FAMILIA YENU KWA UJUMLA,LAK… Read More
  • Tangazo la MsibaTunasikitiza kutangaza kifo cha Pr. Joseph Shem Onyango (pichani akiwa na mkewe na wajukuu) Kilichotokea jana mchana Kihonda, Morogoro kutokana na ajali ya barabarani. Mchungaji alikuwa akielekea kwenye kituo cha basi tayari … Read More
  • Taarifa za Msiba mjini Reading, UingerezaTunasikitika kuwatangazia kifo chaMachira  NYITAMBEKilichotokea mchana leo huko  MUSOMA-TANZANIAMazishi yatafanyika huko Kirongwe, Shirati, katika mkoa wa Mara.Marehemu ni baba mzazi wa:Mrs Veronica Dibogo NyitambeM… Read More
  • Tangazo la Msiba Leicester Ndugu, Jamaa, na Marafiki, Watanzania wote;Kwa masikitiko makubwa tunawataarifu ya kwamba, tumepokea habari za msiba wa mwenzetu EDGAR KILEKE (KAKA DICK). Msiba umetokea leo huko Leicester Uingereza. Mare… Read More

1 comment:

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget