Thursday, 18 August 2011



 Mimi ni Mtanzania halisi niliyezaliwa miaka 38 iliyopita jijini Arusha maeneo ya Sanawari. Niliamia hapamiaka 5 iliyopita baada ya kuonana na mme wangu kupitia njia kama hii (Cyber-love). Nina motto 1 na ninaishi maisha tu ingawa ni ya kawaida. Hivyo nimeona ni vyema nikatoa nafasi kama kwa watanzania wengine ambao wangependa vilevile kuonana na marafiki wengine popote duniani kupitia blog hii ya WabongoMeet.

Wabongomeet ni blog ya Kitanzania inayotoa mwanya kwa watanzania mahali popopo kujitafutia marafiki, wachumba mume/mke ulimwenguni kote. Mnakaribishwa bila ubaguzi wowote. 

AKINA DADA MNAKARIBISHWA NAWAPA MOYO ZAIDI KUTEMBELEA HAPA http://wabongomeet.blogspot.com
Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com, Pia nakaribisha maoni yenu.


1 comment:

  1. kaka evarist najua unaongelea siasa zaidi, si tulio wasomaji tutaka tusikike. tunaomba weka topic ya wakina baba wanao wapiga wanawake na kukimbia familia zao, bila matumizi au kujali watoto wanakula au wanalala vipi na hasa kudunda wakina dada kwa ajili ya vimada. kazi njema kaka.

    ReplyDelete

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget