Tuesday, 30 September 2008

Je wajua kuwa licha ya kuwa gaidi nambari moja duniani,Osama bin Laden pia ni mshairi?Well,mie nilikuwa sifahamu kuhusu hilo hadi niliposoma habari kwamba kuna mjadala unaoendelea kuhusu la jarida la Language and Communication kama lichapishe mashairi ya gaidi huyo au la.Watetezi wa hoja ya kuchapisha mashairi ya Osama wanadai kuwa kwa kuyachapisha inaweza kusaidia kumjua kwa undani zaidi gaidi huyo,huku wapinzani wakidai kwamba kuchapisha mashairi hayo kutampatia forum nyingine zaidi ya kujitangaza.

Related Posts:

  • KIMBEMBE CHA MASHAIRI YA OSAMA BIN LADENJe wajua kuwa licha ya kuwa gaidi nambari moja duniani,Osama bin Laden pia ni mshairi?Well,mie nilikuwa sifahamu kuhusu hilo hadi niliposoma habari kwamba kuna mjadala unaoendelea kuhusu la jarida la Language and Communicatio… Read More

0 comments:

Post a Comment

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget