Wakati Waamerika na wapenda amani wengine duniani wanakumbuka mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea siku kama leo mwaka 2001,kibosile wa polisi wa Devon&Cornwal hapa Uingereza,Colin Terry,ameadhimisha siku hiyo kiaina kwa kuvaa sanamu la Osama bin Laden.Kitendo hicho kimezua kimbembe na tayari wapo wanaotaka awajibishwe pengine kwa vile afande huyo pia ni mwandamizikatika eneo lake kwenye mapambano dhidi ya ugaidi.Habari zaidi iko HAPA
Thursday, 11 September 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment