Ustaadh mmoja mwenye msimamo mkali huko Saudi Arabia ametoa fatwa dhidi ya kikatuni-kipanya Mickey Mouse,akidai kuwa "kipanya" huyo ni askari wa shetani.Huu sio utani,BONYEZA HAPA kusoma habari hiyo ya kuchekesha.
BREAKING NEWS:BENAZIR BHUTTO ASSASSINATEDMwanasiasa mahiri na Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani,Benazir Bhutto ameuawa baada ya kupigwa risasi mjini Rawalpindi,karibu na mji mkuu wa nchi hiyo Islamabad.Mwanamama huyo ambaye alirejea nchini humo hivi karibuni akito…Read More
Shahada ya Uzamifu (PhD) ya Ndoto!!?Je una ndoto za kupata shahada ya juu?Basi jaribu shahada ya uzamifu (doctorate) ya ndoto,jambo linalotarajiwa kuwa halisi nchini Saudi Arabia. Yusuph al-Harthy,Msaudia mahiri katika kutafsiri ndoto,ana mpango wa kuanzis…Read More
MICKEY MOUSE ASOMEWA FATWA AKITUHUMIWA KUWA ASKARI WA SHETANIUstaadh mmoja mwenye msimamo mkali huko Saudi Arabia ametoa fatwa dhidi ya kikatuni-kipanya Mickey Mouse,akidai kuwa "kipanya" huyo ni askari wa shetani.Huu sio utani,BONYEZA HAPA kusoma habari hiyo ya kuchekesha.…Read More
Marejeo: Wawekezaji wa Kisaudia Wamendea Ardhi ya TanzaniaRiyadh,Saudia,April 16Wafanyabiashara wa Saudi Arabia wameiomba Tanzania kama wanaweza kukodi hekta nusu milioni (500,000) za ardhi inayofaa kwa kilimo hususan cha mpunga na ngano kama sehemu ya mpango wa kujitosheleza kwa ch…Read More
0 comments:
Post a Comment