(Picha kwa hisani ya Tambaza.blogspot.com)
Unajua unaweza kuona kama habari ya hapo chini inahusu watu ni machizi wanaotangaza hatua za kubana matumizi kwa kuzima taa za mtaani.In fact,sisi ndio tunaonekana watu wa ajabu zaidi kwa kuwa na matumizi ya kifahari ilhali uchumi wetu unategemea zaidi huruma ya wafadhili.Hivi ni jeuri ya kutumia ovyo fedha za wafadhili au ni uzembe wa wafadhili kufuatilia fedha zao zinatumikaje?Enewei,waungwana hawa wameamua kubana matumizi kwa njia ya kuchekesha kidogo.Bonyeza HAPA kusoma habari kamili.
0 comments:
Post a Comment