Kama nilivyoahidi awali,blogu yako itakuwa ikikuletea mahojiano na Watanzania 'wanaowakilisha' (representing) nchi yetu kwa namna moja au nyingine.Na sasa nafurahi kukujulisha kuwa blogu imekamilisha mahojiano na supastaa big name wa bongoflava.Could you make a guess?Hint: Ni msanii mwenye kipaji cha hali ya juu katika kupangilia verses na lyrics zake,sambamba na uwezo mkubwa wa 'kucheza na maneno' na kwa sasa ni mwana bongofleva mwenye elimu ya kiwango cha juu kabisa. Na hapa chini (video) inakupa hint zkubwa zaidi.
Mahojiano kamili yatawekwa hapa kesho katika versions mbili:Kiingereza na Kiswahili.USIKOSE
Sunday, 11 April 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nashukuru sana kaka, nasubiria mahojiano hayo kwa hamu kwelikweli.
ReplyDeleteNashukuru sana kaka, nasubiria mahojiano hayo kwa hamu kwelikweli.
ReplyDeleteNashukuru sana kaka, nasubiria mahojiano hayo kwa hamu kwelikweli.
ReplyDelete