Waungwana,ni MwanaFA hapa..i dont usually do this kwenye blogs na sites (ku'post maoni) but naona nichangie this time since naona concerns zimekuwa za kistaarabu hapa na zina lengo la kujua tu na si vinginevyo...
Yes,nimefanya masters degree ya finance,Coventry University,ilianza January 2009 na ikamalizika January 2010,natakiwa kufanya mahafali aidha July ama November(kwa jinsi ntakavyoamua)...
Sichukui maoni yeyote kati ya haya vibaya,na pengine yanamaanisha kitu nilichofanya sio kidogo mpaka kufika mahali waungwana wanashindwa kuamini nimeweza kukifanya...
NB: na yes,nikijaliwa uhai na uwezo wa kuhudhuria mahafali ntawaletea picha...
Wasalaam...nawasilisha!!
KULIKONI UGHAIBUNI: Asante Mwana FA kwa hope ufafanuzi huu.
Ndugu mwanaFA hongera sana , Hata hivyo elimu sio cheti au graduation elimu ni zaidi ya hiyo ni jinsi unavyoweza kutumia ujuzi ulioupata huko darasani katika kusaidia kurahisisha maisha yako na wengine na kuyabiresha zaidi
ReplyDeleteYona F Maro