Thursday, 5 August 2010
19:24
Unknown
WILBROAD SLAA
No comments
Usikose kutembelea blogu ya Dokta Wilbroad Slaa, mgombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).Blogu hiyo inayoitwa Friends of Slaa- Marafiki wa Slaa inapatikana katika anuani ya mtandao http://www.friendsofslaa.blogspot.com
Related Posts:
Developing: Chadema Wampendekeza Dokta Slaa Kuwa Mgombea UraisKuna habari kuwa huenda Katibu Mkuu wa Chadema,Dkt Wilbrod Slaa,atakuwa mgombea urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao.Kwa mujibu wa gazeti la Daily News,Kamati Kuu ya chama hicho iliyokutana jana jijini Dar imemuomba… Read More
Blogu ya KULIKONI UGHAIBUNI yam-endorse Dkt Wilbroad SlaaBlogu hii ya KULIKONI UGHAIBUNI inafungua ukurasa mpya na kuweka historia ya kipekee katika fani ya habari nchini Tanzania kwa kutangaza hadharani kuwa inam-endorse mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi … Read More
Rostam Aziz na Kikwete Dhidi ya Dokta SlaaRostam AzizKatika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2005,mfanyabiashara controversial Rostam Aziz alitumia raslimali zake nyingi kuhakikisha mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM,Jakaya Kikwete,anashinda kwa gharama yoyo… Read More
Tembelea Blogu ya Rais Mtarajiwa Dokta Wilbroad SlaaUsikose kutembelea blogu ya Dokta Wilbroad Slaa, mgombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).Blogu hiyo inayoitwa Friends of Slaa- Marafiki wa Slaa … Read More
Chadema Wamwekea Pingamizi JK: Adaiwa Kukiuka Sheria Aliyosaini kwa MbwembweSheria ni msumeno: Rais Kikwete akisaini kwa mbwembe Sheria ya Gharama za Uchaguzi,ambayo Chadema wanamtuhumu kuikiuka na hivyo wanamwekea pingamizi.Geofrey Nyang'oro na Lilian MazulaSHERIA ni msumeno na sasa imgombea urais w… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment