Wednesday, 1 September 2010

Kama waliweza kuchakachua kadi zao wenyewe kwenye kura za maoni watashindwaje kufoji za Chadema?Na wameshamgeuza sehemu ya kufanyia mazoezi kuzuga kama anavyotabasamu hapo chini kwa kupewa "two hundred thousand USD za $300,000/="!!!!

Related Posts:

  • JK AKUMBUKA MISINGI YA NYEREREKWANGU,MISINGI MIKUU YA NYERERE ILIKUWA UJENZI WA JAMII YENYE USAWA NA INAYOTHAMINI UTU WA BINADAMU.UHURU BILA USAWA NI POROJO.UMOJA KATIKA LINDI LA UMASIKINI NI SAWA NA USINGIZI WA PONO KWENYE UTANDO WA BUIBUI.NA MAISHA BORA… Read More
  • HABARI MOJA,MITIZAMO TOFAUTIYAH,WANASEMA NI SUALA LA MTIZAMO: KUSEMA GLASI IKO HALF EMPTY AU HALF FULL.HABARI MBILI ZIFUATAZO ZINADHIHIRISHA MANTIKI YA MSEMO HUO.Na Boniface MeenaUMAARUFU wa Rais Jakaya Kikwete unaonyesha kuendelea kuporomoka, kwa mujib… Read More
  • DR MFISI:JK YUKO FIT.DR SEMBOJA: URAIS NI ASASI SI MTUNa Ramadhan SemtawaRAIS Jakaya Kikwete aliweka hadharani matokeo ya uchunguzi wa vipimo vya afya yake, yanayoonyesha kuwa kiongozi huyo wa nchi ana afya njema baada ya tatizo la kuishiwa nguvu akiwa jukwaani mjini Mwanza Okto… Read More
  • TUNAHITAJI VIONGOZI VIJANA AU VIONGOZI WAADILIFU?BUSARA ZINAELEKEA KUSHINDWA KUFANYA KAZI KATIKA TANZANIA YA SASA.BUSARA ZIMEKUWA ZIKITUFUNDISHA KUWA UTU UZIMA DAWA LAKINI TUKIANGALIA JINSI MAMBO YALIVYO SHAGHALA BAGHALA LICHA YA KUWEPO KWA WAZEE-KAMA KINGUNGE NGOMBALE MWIR… Read More
  • HOTUBA YA JK KWA TAIFA (USIKU HUU KWA SAA ZA TZ))HOTUBA YA MWISHO WA MWEZI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI TAREHE 31 OKTOBA, 2008Ndugu Wananchi;Tuanze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia rehema zake tunapat… Read More

2 comments:

  1. Hii ni kali. Tunasubiri undani wake.

    ReplyDelete
  2. chakarika.blogspot.com4 September 2010 at 05:19

    Utawala ovyo ovyo mambo na utendaji ovyo ovyo...Viongozi na uongozi shaghala bagala...Bora liende ndiyo mbiu ya CCM kwa vitendo kwa sasa...

    ReplyDelete

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget