MNAKARIBISHWA NYOTE KWENYE SABATO YA WAGENI TAREHE 23/07/2011
Kanisa la wasabato ( Angaza Swahil UK) linapenda kuwakaribisha watu wote kutoka sehemu mbali mbali za Uingereza katika sabato ya wageni itakayofanyika tarehe 23/07/2011 kuanzia saa 3.00 asb hadi saa 11.00 jioni.
Siku hiyo itakuwa ya pekee kweli kwani vikundi mbali mbali vya nyimbo vitakaribishwa kuimba kutoka kwenye kila dhehebu .Pia watoto wataonyesha programme mbali mbali.
THEME: NJOO UJUE UNA NINI MKONONI MWAKO
Baada ya ibada ya mchana tutakusanyika pamoja kwa ajili ya chakula na vinywaji.Usipange kukosa lete rafiki yako .Kama hauna usafiri i wasiliana nasi.KARIBU NYOTE
ANUANI
St Barnabas C Of E Church
Elm Road, Reading, RG6 5TS
0 comments:
Post a Comment