Angalia kitambi kilivyoshamiri.Huyu ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama |
VITAMBI OYEE: Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama |
HOI KWA USINGIZI: Mheshimiwa John Komba akitafakari matatizo ya wapigakura wake jimboni Mbinga |
Kwanini Kapteni Komba aache kuimba kuisifia CCM iliyomwezesha kuwa na kitambi kikubwa namna hiyo? |
KITAMBI: Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Didas Masaburi |
Mtu mzima hovyoo!!! |
MHESHIMIWA SAMUEL SITTA: Kamanda wa jeshi la kupambana na mafisadi azidiwa nguvu na usingizi |
Mzee wa Kiraracha AGUSTINE MREMA akibuni mbinu za kuipeleka TLP Ikulu |
Mbunge anaota posho usingizini |
Usalama wa nchi nao ukiwa usingizini. |
Waziri Ngeleja akiwajibika kwa kuuchapa usingizi bila kumhofia bosi wake hpo pembeni |
Maji hufuata mkondo |
Watoto wanaketi chini hakuna madawati msitu wa Songea na Mafinga Sao Hill akina Lukuvi wamejipigia ufisadi ambapo serikali ingetengeneza masawati ya kutosha nchi nzima, |
Watoto wakitoka 'darasani' huku wamenyong'onyea |
Shule ya msingi ambamo wanasoma watoto wa wapiga kura |
Hata kwenye shule za sekondari nako hali mbaya |
Hii ni zahanati mpiga kura ndo analalia kitanda hicho wao Muhimbili wanaenda kupumnzika kisha hao India |
Hii ndo maabara ambapo mpiga kura anakuja kupimwa maradhi yake |
Wapiga kura wanalala mzungu wa nne kitanda kikiwa full mpiga kura inamlazim adondoshe gari sakafuni anamwachia matumaini Mungu |
Wapiga kura hawa wasio thaminiwa wakiwa wamerundikana kama wanyama wanapatiwa matibabu |
maji anayo tumia mpiga kura kwa kunywa na kupikia na kufulia |
Mpiga kura wa hao jamaa walio vimbiana matumbo akikata kiu kwa maji kumbuka hayo maji kayafuata kwa kutembea zaidi kilomita 20. SHUKRANI KWA NANA KANZAGA WA COVENTRY (UK) KWA PICHA |
0 comments:
Post a Comment