Wednesday, 25 August 2010


Hongera nyingi kwako Mzee wa Changamoto Yetu kwa blogu yako kutimiza umri wa miaka miwili.Ama kwa hakika blogu yako ni miongoni mwa sehemu zinazofanya kuweko mtandaoni kuwa ni jambo la muhimu katika maisha yetu ya kila siku.Hekima na filosofia zako zinaamsha tafakuru kubwa,huku ukihakikisha tunamwayamwaya na burudani ya miziki mbalimbali.Kwa hakika,Changamoto Yetu ni miongoni mwa sababu zinazonifanya niendelee kupenda fani ya kublogu.

Kila andiko lililowekwa kwenye blogu yako katka kipindi hiki cha miaka miwili kimekuwa na manufaa makubwa kwa jamii.Ni dhahiri kuwa kila unapoandaa andiko la kuweka bloguni hapo unakuwa na picha ya sie wasomaji wako akilini na hivyo kufahamu maswali,kiu,mshawasha,na matamanio au mahitaji yetu mengine.

Kukupa sifa unazostahili inahitaji chapisho kubwa zaidi ya thesis ya PhD.Naomba pongezi hizi fupi ziwakilishe stahili zako zote kutokana na kazi mwanana unayoifanya kwa jamii.

Again,Hongera Sana na Happy Birthday.

Related Posts:

  • We Are Moving to a New AddressBLOGU HII YA Kulikoni Ughaibuni INAPENDA KUWAFAHAMISHA KUWA INAHAMIA KATIKA ANWANI MPYA MTANDAONI.AWALI BLOGU HIYO IMEKUWA IKIPATIKANA KATIKA ANWANI http://chahali.blogspot.com/  LAKINI SASA INAHAMIA KATIK… Read More
  • A BLOGGER'S DILEMMAMost bloggers crave for a high number of visitors. But how “high” is enough? Tens of visitors a day? Hundreds a week? Thousands a month? Or a million at all time? A couple of months ago, I was one of those who were so obsesse… Read More
  • SHOULD I BLOG TO PLEASE MYSELF OR MY READERS?I wouldn't consider myself as an expert in blogging,but hey,I've been around since 2006 and still kicking.I've seen blogs born and die,with some dying as fast as they were born.When going through some discussions in Jamii For… Read More
  • Tembelea Blogu ya La Princessa WorldMiongoni mwa mapungufu yanayowakabili baadhi ya Watanzania wenzetu ni kushindwa kusifia pale inapostahili.Na miongoni mwa "udhaifu" wangu ni kushindwa kujizuia kumwaga sifa pale inapostahili (au kukosoa pale inapobidi).Wainge… Read More
  • Hongera MUBELWA BANDIO na Happy Birthday Blogu ya CHANGAMOTO YETUHongera nyingi kwako Mzee wa Changamoto Yetu kwa blogu yako kutimiza umri wa miaka miwili.Ama kwa hakika blogu yako ni miongoni mwa sehemu zinazofanya kuweko mtandaoni kuwa ni jambo la muhimu katika maisha yetu ya kila siku.H… Read More

1 comment:

  1. Kaka.
    Sina ninaloweza kusema juu ya UWEPO WENU katika harakati hizi.
    Kama unakumbuka tuliwahi jadili namna ambavyo MAONI hayana maana kwetu tuandikapo YAIFAAYO JAMII
    Na hili naliona hata hapa. Mara zote unaandika na bado hujali wamesema nini. Kwani wajua TUNASOMA NA KUELIMIKA.
    Tambua kuwa CHANGAMOTO YETU ipo na INASIMAMA IMARA KWA KUWA KUNA CHAMBUZI ZILIZOJAA HAPA ZIONGEZAZO UCHAJI WA FIKRA.
    Ninaheshimu, Ninapenda na Ninathamini saaana kazi zako.
    SHUKRANI SAANA KAKANGU NA HESHIMA KWAKO

    ReplyDelete

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget