Monday, 30 May 2011

July 9, 2007Weirdest workplace disputesLast week, the Employment Appeal Tribunal celebrated its 30th anniversary. We marked the occasion by trawling the archives and dusting off some of the more colourful UK employment disputes from the past few years.Alex Wade and Alex Spence 14. CSI: Farnham. Tony...

Sunday, 29 May 2011

JG: CAN YOU PLEASE INTRODUCE YOURSELF?ALEX: My name is Alex Kajumulo. I was born in Muleba, Bukoba, Tanzania. Currently, I live in the U.S. (Seattle, Washington) where I coach youth soccer and run my own soccer training program. It's the only soccer program run by an African in Washington State....

Saturday, 28 May 2011

Ilikuwa dakika,masaa,siku,wiki,mwezi,miezi,mwaka na sasa ni mwaka wa tatu tangu mama yangu mpendwa Adelina Mapango alipotuacha na majonzi ambayo kamwe hayatafutika.Mara ya mwisho kuonana na mama akiwa hai ni mwaka 2005 nilipokwenda nyumbani kwa ajili ya fieldwork yangu.Novemba mwaka huo,ndoa ya Baba...

Thursday, 26 May 2011

Mrs Agnes Atim Apea - Motivation Speaker, PhD Student, Gender and HIV, Reading University; Dr. Bunmi Arogunmat - Motivation Speaker; Terrence Higgins Trust;Mama Balozi, Tanzania; Mama Waziri Mkuu, Tanzania; Dr. Sylvia Anie, Director, Social Transformation Programmes Division, Commonwealth Secretariat,...

Rais Kikwete na Waziri Mkuu Pinda na wakuu wa vyombo vya dola.Wa kwanza kushoto ni CDF (Mkuu wa Majeshi) Davis Mwamunyange,akifuatiwa na IGP (Mkuu wa Jeshi la Polisi) Mwema na DGIS (Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa) Othman Rashid Sio siri kwamba Jeshi la Polisi Tanzania lina sifa chafu na...

Wednesday, 25 May 2011

Hatimaye tovuti hii imeamua kushiriki kuwania tuzo za blogu za Kitanzania zijulikanazo kama TANZANIAN BLOGS AWARDS.Blogu hii inawania tuzo kwenye kundi la BLOGU BORA YA SIASA au kwa kimombo BEST POLITICAL BLOG.Cha kufanya,nenda kwenye link hii http://www.tanzanianblogawards.com/2011/04/faqs.htmlKisha...

...

Tuesday, 24 May 2011

Askari wa Kikosi cha Kuzuwia Ghasia (FFU) wakiwa tayari kuvunja haki za binadamu nchini Tanzania.Picha hii haihusiani na habari ifuatayo.Tanzania yetu inaelekea wapi?Tangu lini kupiga picha jeneza imekuwa kosa linalopelekea polisi kukamata waandishi wa habari waliopiga picha majeneza?Kwa kweli Jeshi...

Monday, 23 May 2011

Mwangalie kwanza.Hivi abiria watasafiri kwenye hilo lijinembo lisilo na mvuto?Au anamaanisha wapande kwenye mkono wake alioinua?Hovyoooo!!!!Unajua,baadhi ya viongozi nchini Tanzania wanatuona sie kama machizi vile.How come mtu anayeamua kuondoka katika shirika mfu ajigambe kwa kubadilisha nembo?Huu...

BONYEZA PICHA HAPO JUU KUSOMA HABARI KAMILICHANZO : Daily M...

Sunday, 22 May 2011

URBAN PULSE CREATIVE Ilipata fursa ya kufanya mahojiano maalum na MH Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipokuja katika Ziara yake hapa nchini Uingereza siku chache zilizopita. Mahojiano hayo maalum yalilenga zaidi kuelemisha jamii yetu ya kitanzania, vile vile kutoa Msimamo kutoka katika serikali yetu ya Jamhuri...

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget