Kaka chahali,Nape kasema lipi tena?? Au ndo kahamia CCJ nini maana c elewi elewi hii post
Samahani ndugu yangu kwa kuweka kichwa cha habari pasipo kuambatanisha maelezo.Kuna habari kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuwa Nape alikuwa miongoni mwa waasisi wa CCJ.Unaweza kusoma zaidi kwenye kiungo (link) hiki http://bit.ly/jCQzaQ
Kaka chahali,Nape kasema lipi tena?? Au ndo kahamia CCJ nini maana c elewi elewi hii post
ReplyDeleteSamahani ndugu yangu kwa kuweka kichwa cha habari pasipo kuambatanisha maelezo.Kuna habari kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuwa Nape alikuwa miongoni mwa waasisi wa CCJ.Unaweza kusoma zaidi kwenye kiungo (link) hiki http://bit.ly/jCQzaQ
ReplyDelete