Pichani juu ni dada SOPHIA RWANGA mara baada ya kukamata nondo yake ya MSc in Geospatial Information Systems hapo University of Aberdeen.Picha zifuatazo hapo chini ni shamrashamra za mahafali hayo katika chuo hiki kilichoanzishwa mwaka 1495,the third oldest in Scotland,and the fifth oldest in the UK.
Tuesday, 9 December 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera DADA!
ReplyDeleteduu hongera zake sana, sisi hapa ndiyo tunajaza fomu za kurejea vyuo tena yaani ipo kazi. sijui itakuwaje. nampongeza sana mungu amlinde daima LAKINI kaka sijui kwanini upo nje ya safu yako ya RAIA MWEMA UGHAIBUNI nimekukosa sana sijui kwanini kwani hata Inno Mwesiga kule Houston naye kimya duuh
ReplyDelete