Makamu Wa Pili wa Rais wa TFF,"Ustaadh" Ramadhan Nassib (mbele kulia) akishangilia baada ya kushinda nafasi hiyo dhidi ya mpinzani wake Damas Ndumbaro katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo jijini Dar.Ila Ustaadh,mbona TFF sasa iko chini ya Yanga tupu?Tenga alikuwa Pan (mtoto wa Yanga),Nyamlani ni Yanga na wewe ndio kama vile.....just kidding!Big up,man.You made it.At least jamaa kadhaa wanaweza kusema "tuna mshkaji TFF...!!!".Picha na habari kwa hisani ya MICHUZI
Sunday, 14 December 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment