
Wednesday, 31 December 2008
Related Posts:
KARIBU 2009 (PICHA)FASHIFASHI LONDON EYE JIJINI LONDON,UINGEREZAFIREWORKS ST ANDREWS STREET,EDINBURGH,SCOTLAND.WARSAW,POLAND.VILNIUS,LITHUANIA.SALA YA MWAKA MPYA POPE BENEDICT KATIKA MISA YA MKESHA WA MWAKA MPYA HUKO VATICAN CITY,VATICAN.SHAMRA… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Habari kaka Evarist
ReplyDeleteNakutakia heri ya mwaka mpya wa 2009.
Naomba tuendelee kushirikiana kama mwaka uliopita.
Kaka Evarest, nilipokuwa nikiangalia picha hizi, nikakumbuka namna sisi huku nyumbani tunavyoupokeaga mwaka.
ReplyDeleteHatukupata bahati ya kupata picha za nyumbani usiku huo, lakini bila shaka tungeona watu wakizunguka na madebe, wengine wakichoma matairi barabarani. Tunatofautiana sana.