Monday, 29 June 2009

Kifo cha mtu maarufu huambatana na kila aina ya tetesi.Na kifo cha Michael Jackson is no exception.Ukisikiliza,kuona au kusoma kuhusu kifo cha mfalme huyo wa Pop,unaweza kumhukumu kirahisi tu kuwa alikuwa mithili ya mfu aliye hai (dead man walking).Baadhi ya vyombo vya habari vinadai Michael alikuwa...

Bwana Mapesa,John Momose Cheyo,Mbunge wa Bariadi kwa tiketi ya UDP akitoka nje ya jengo la bunge baada ya kukumbana na makali ya viwango na spidi vya Mheshimiwa Spika Samuel Sitta.Ironically,Cheyo ni mwandishi-mwenza (co-author) wa kitabu BUNGE LENYE MENO.CHANZO: Jamii For...

...

Sunday, 28 June 2009

NI PIGO KUBWA KWA TAIFA NA PENGO LISILOZIBIKA.KWA MARA NYINGINE,TANZANIA IMEPOTEZA MSOMI MAHIRI WA KIMATAIFA.NI PIGO KUBWA HASA KWA VILE TAIFA BADO LINA MAPENGO YALIYOACHWA NA WASOMI WENGINE MAHIRI WALIOTANGULIA KWA MUUMBA,KAMA PROFESA CURTHBERT OMARI NA PROFESA CHACHAGE S. CHACHAGE.MUNGU ILAZE ROHO...

Saturday, 27 June 2009

L’Oréal, the French cosmetics giant, whose advertising campaigns proclaim “because you’re worth it”, was found guilty of racial discrimination for considering black, Arab and Asian women unworthy of selling its shampoo.France’s highest court was told that the group had sought an all-white team of sales...

Kifo!Yaani,licha ya kumaanisha mwisho wa safari ya uhai wa binadamu,kifo huambatana na matukio ya ajabu kabisa ambayo pengine yangepelekea tifu laiti marehemu angeweza kuyasemea.Nikupe mfano hai.Kabla ya kukutana na mauti,marehemu mama yangu aliugua kwa takriban miaka mitatu.Japo kwenye mambo ya imani...

Friday, 26 June 2009

By Gatonye Gathura, Citizen Correspondent, NairobiScientists have found a way of eradicating HIV infection from the human body by "smoking" out the virus from its hideout cells. The new approach is to kill the hideout cells plus the virus.The current anti-Aids drugs only destroy viruses circulating...

Ifakara katika picha niliyopiga mwezi Mei mwaka jana.Mji una neema ya ardhi yenye rutuba inayokubali kilimo cha mpunga,mahindi,na mazao mengine lukuki.Ungetegemea mapinduzi ya kijani yaanzie sehemu kama hizi lakini kama kawaida ya wanasiasa wetu,maneno meeengi huku vitendo vikiishia kwenye michakato,mikakati,vipaumbele,semina...

Thursday, 25 June 2009

On Nixon Tapes, Ambivalence Over Abortion, Not WatergateBy CHARLIE SAVAGEWASHINGTON — On Jan. 22, 1973, when the Supreme Court struck down laws criminalizing abortion in Roe v. Wade, President Richard M. Nixon made no public statement. But the next day, newly released tapes reveal, he privately expressed...

Ana umri wa miaka miwili tu,lakini anavuta pakti zima la sigara kwa siku.Huyo ni Tong Liangliang,mkazi wa mji wa Tianjin nchini China.Dogo huyo anaaminika kuwa ndio mvuta fegi mdogo zaidi duniani,at least miongoni mwa waliojitambulisha kama watumiaji wa tumbaku.Tong alianza kuvuta fegi akiwa na umri...

Just in case sura ya mwenye gwanda la jela na pingu mkononi ni ngeni kwako,basi huyo ni bilionea Sir Allen Stanford.Unadhani kuna siku majambazi wa kampuni ya Kagoda watakuwa katika hali kama hii?Sijui wewe unaonane,lakini mie sidhani kama hilo litatokea hasa ukizingatia kwamba wanufaika wa ufisadi...

Kwa mujibu wa TMZ.COM (katika tafsiri isiyo rasmi)Kufuatia habari za kifo cha Michael Jackson,watu luluki walikimbilia kwenye intaneti kiasi kwamba mfumo mzima (the World Wide Web) ulisimama.Social networks kama Facebook,Twitter,MySpace,AIM-zilikuwa miongoni mwa maeneo ya mtandao yaliyozidiwa na wingi...

Kwa mujibu wa MZEE WA CHANGAMOTO,Hasheem Thabeet amenyakuliwa na klabu ya mpira wa kikapu ya Memphis Grizzlies katika draft ya NBA.Hii ni miongoni mwa njia mwafaka-na nafuu-za kuitangaza Tanzania.Kila la kheri Hasheem.Mafanikio yako ni zaidi ya kufanikiwa kimichezo,umeingia kwenye orodha ya vitambulisho...

Hili ndio "BUNGE LENYE MENO"!Juzijuzi mbunge mmoja wa CCM kaomba Mungu alilaani Baraza la Mawaziri kwa kushindwa kutimiza majukumu yake.Mwingine kadai serikali ina ugonjwa na inahitaji maombezi (na kwa kawaida magonjwa yanayohitaji maombezi ni yale yasiyotibika kama vile ukimwi,nk).Jana mbunge mwingine...

Breaking News hii ni kwa mujibu wa TMZ.COM ambapo wanaeleza Michael Jackson Dies Posted Jun 25th 2009 5:20PM by TMZ Staff We've just learned Michael Jackson has died. He was 50. Michael suffered a cardiac arrest earlier this afternoon at his Holmby Hills home and paramedics were unable to revive him....

Wednesday, 24 June 2009

Pichani,Berlusconi akijifuta jasho baada ya kutwanga swali kwenye mahojiano na kituo kimoja cha runinga kuhusu tuhuma zinazoweza kuotesha nyasi ndoa yake na mkewe anayeonyeshwa kwenye background.Waziri Mkuu wa Italia,Silvio Berlusconi,amekanusha madai kwamba alinunua huduma ya tendo la ndoa kwa changudoa...

Kontebo wa Polisi,Tariq Dost (pichani juu) amefungua mashtaka dhidi ya mwajiri wake na Mamlaka ya Polisi ya eneo la Midlands,hapa Uingereza, kutokana na matamshi ya mwaka 2007 kwamba anafanana na gaidi nambari wani Osama bin Laden (pichani chini).Nadhani kisa ni huo "mzuzu".Je wanafanana? CHANZO: The...

Slaa up in arms on 'silencing' in HouseBy Faraja Jube DodomaKaratu MP Willibrod Slaa has threatened to "go public" with what he said were issues of national interest the Parliament blocked him from tabling in the august House on Monday.Some MPs heckled the firebrand opposition leader as he stood up...

Kama hujawahi kuhudhuria matamasha au maonyesho ya wasanii wetu huko Bongo,wala usidhani ume-miss raha pekee.Kuna karaha pia,hususan ile inayotokana na mastaa wetu kudekezwa kupita kiasi na vyombo vya dola.Kwa kifupi,huko ni bangi nje nje,wasanii hugeuka madikteta wanaoweza kufanya lolote lile hadharani...

Tuesday, 23 June 2009

Pichani,Mwanasoshojia akimuaga Mzaa chema.BLOGU HII INATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA KIFO CHA MAMA MZAZI WA BLOGA MWANASOSHOLOJIA.HAKUNA MANENO MWAFAKA YANAYOWEZA KUKULIWAZA WEWE BINAFSI NA FAMILIA YENU KWA UJUMLA,LAKINI TUAMINI KUWA MUNGU AMEMPENDA MAREHEMU ZAIDI YETU,NA NDIO MAANA AMEMCHUKUA.NA...

Dunia haina dogo.Kuna wambeya wanaodai eti huyo "nzi" alikuwa ni skadi lililotumwa na Dick Cheney kwa Obama.Kuna wengine wanadai huyo wala hakuwa "nzi" bali roboti lilotengenezwa na majasusi wa Kimarekani kupeleka ujumbe kwa Kim Jong Ill na mikwara yake ya nyuklia.Wapo wanaomhusisha "nzi" huyo na uchaguzi wa Irani..... Alimradi burudani!ELEKEZO: Neno "nzi" limetumika kama tafsiri isiyo rasmi ya "fly" (BAKITA mko wapi?)...

Inakera ati!hususan kwa simu vimeo zinazokula chaji kama hazina akili nzuri.Wajuzi wa simu wanadai kwamba baadhi ya simu "zina allergy na full charge",yaani chaji haidumu.Taarifa zinaeleza kwamba maabara ya Kampuni ya Nokia hapo Cambridge wanatafiti ujio wa simu itakayokuwa ikijichaji yenyewe.Badala...

The British National Party could face legal action over its 'whites only' membership policy, a watchdog said yesterday.The party could be taken to court for three counts of discriminating on grounds of colour, the Equalities and Human Rights Commission said.If the BNP refuses to allow non-whites to...

Pengine siendi na wakati.Pengine mgumu wa kuelewa.Pengine....well,pengine sina hoja bali naibua tu cha kuropoka.All in all,mie ni miongoni mwa sijui wengi au wachache ambao hizi SIKU MAALUM hazina umuhimu kihivyo.Tuanze na siku ya kuzaliwa (BIRTHDAY).Mie nilizaliwa tarehe inayofanana na siku ya Uhuru...

Na Ramadhan Semtawa, DodomaSERIKALI imesisitiza kuwa haiwezi kuruhusu suala la kampuni ya Buhemba Goldmine (Meremeta), kujadiliwa hadharani kwa kuwa inahusu mambo ya usalama wa taifa, lakini ikaeleza kuwa suala la ukaguzi wa Mwananchi Gold linasubiri wakati mwafaka kwa kuwa kwa sasa inafilisiwa.Kauli...

Monday, 22 June 2009

Katika MAKALA HII nilionyesha wasiwasi wangu kuhusu hatua ya Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo kutangaza kufutwa kwa misamaha ya kodi kwa taasisi za dini.Katika makala hiyo,nilieleza hivi (najinukuu)Lakini binafsi natafsiri kuwa hatua hii ina ajenda mbalimbali zilizofichikaikiwa ni pamoja na kuonyeshana...

Saturday, 20 June 2009

Ahadi tupu za kiwete zaelekea kutengeneza kitanzi cha CCM 2010Na Mwandishi WetuIKIWA imesalia takriban miezi 18 kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba mwakani, sasa ni dhahiri kuwa Rais Jakaya Kikwete ana kibarua kigumu cha kukamilisha ahadi lukuki alizotoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005.Mazingira...

Orodha ya wabunge bubu bungeni yawekwa hadharani Na Leon BahatiWAKATI tukielekea mwaka wa lala salama wa Bunge la mwaka 2005-2010, huku baadhi ya wabunge wakiibuka mashujaa kwa kutoa michango mizito inayoitingisha serikali, imebainika kuwa baadhi yao hadi sasa hawajawahi kuuliza hata swali moja wala...

Categories

Unordered List

Sample Text

Blog Archive

Labels

Follow Us on FaceBook

Popular Posts

Recent Posts

Recent Comments

Recent Premium Themes

Your Links

Flickr

Powered by Blogger.

Blog Archive

Followers

Download

Your Links

Blogger Tricks

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget