Monday, 29 June 2009
Related Posts:
HABARI ZA KIFO CHA MICHAEL JACKSON ZASABABISHA INTANETI "KUZIDIWA UWEZO"Kwa mujibu wa TMZ.COM (katika tafsiri isiyo rasmi)Kufuatia habari za kifo cha Michael Jackson,watu luluki walikimbilia kwenye intaneti kiasi kwamba mfumo mzima (the World Wide Web) ulisimama.Social networks kama Facebook,Twit… Read More
TRIBUTES TO THE KING OF POP AT MTV AWARDS… Read More
KUFA KUFAANA,KIFO CHA THE JACKO NI DILI KWA WASANII (BOTH ARTISTS AND CON ARTISTS)Michael Jackson mithili ya chura!?The Jacko mithili ya Bikira Maria!?Ukishangaa yanayohusu maisha na kifo cha the King of Pop basi hujakutana na "kazi za sanaa" zinazomhusu the Jacko.Picha za juu ni baadhi tu ya "kazi" hizo.U… Read More
SIJUI TUAMINI LIPI KUHUSU KIFO CHA MICHAEL JACKSON!Kifo cha mtu maarufu huambatana na kila aina ya tetesi.Na kifo cha Michael Jackson is no exception.Ukisikiliza,kuona au kusoma kuhusu kifo cha mfalme huyo wa Pop,unaweza kumhukumu kirahisi tu kuwa alikuwa mithili ya mfu aliye… Read More
KIFO CHA MICHAEL JACKSON: JE KILA CHOZI NI LA SIMANZI?Kifo!Yaani,licha ya kumaanisha mwisho wa safari ya uhai wa binadamu,kifo huambatana na matukio ya ajabu kabisa ambayo pengine yangepelekea tifu laiti marehemu angeweza kuyasemea.Nikupe mfano hai.Kabla ya kukutana na mauti,mar… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tumempoteza mburudishaji wa dunia na pia waandishi wengi walijipatia kipato kikubwa kwa kuandika habari zake nzuri na za kashfa
ReplyDelete