OBAMA AREJEA KILELENI KWENYE RECENT POLLSPicha ya hapo juu inafurahisha.Ndio namna jamaa wa The Huffington Post wanavyo-summarize masahibu yanayomkumba John McCain.Kwa mujibu wa Gallup polls,Barack Obama amefanikiwa kumwengua McCain kwenye kura za maoni ikiwa ni mar…Read More
MDAHALO KATI YA OBAMA NA MCCAIN:NANI KAIBUKA MSHINDI?Hatimaye mdahalo wa kwanza kati ya wagombea urais wa Marekani kwa vyama vya Democrat na Republican,Barack Obama na John McCain,respectively,umemalizika dakika chache zilizopita,mdahalo huo ulikuwa katika hatihati ya kufanyika…Read More
WEUSI KUMGHARIMU OBAMA?Ni jambo lililo wazi kwamba miongoni mwa wasiotaka kumuona Obama akiingia White House ni pamoja na wale wanaompinga sio kwa sera au uwezo wake bali asili yake (weusi wake).Katika hili kuna weupe wengi na weusi wachache,lakini…Read More
0 comments:
Post a Comment