
Wednesday, 29 October 2008
17:02
Unknown
ODD STUFFS
1 comment
Bosi mmoja wa kampuni ya ujenzi aliamua kutumia nyenzo zake za kazi kulipiza kisasi kwa jamaa aliyempora mpenzi wake.Alipopata nafasi mwafaka ya kulipa kisasi akachukua greda/kijiko na kwenda kupondaponda gari ya "mwizi" wake (hiyo hapo pichani chini).BEWARE!

Related Posts:
MWANASOKA AZAMA MAJI NA KUFA KATIKA MTO (ULIOJAA MAMBA) WAKATI AKITAMBIKAHii haijatulia,labda mizimu ilikuwa na beef na anayetambika.Hebu imagine,mnakwenda mtoni au baharini kufanya tambiko halafu mwenzetu anazama wakati wa shughuli hiyo!Haitashangaza baadhi ya watu wakikimbilia kudai kuwa huenda … Read More
HILI NI BONGE LA MCHEMSHOThe next Vice President of the United States,John McCain!?(Tena kwenye mkutano wa kampeni kwa ajili ya Joe Biden!?) Pengine sio kosa lake kwani huyo jamaa,Jim Pacillo, aliyechemsha katika kum-introduce Biden,amepata ridandans… Read More
MHESHIMIWA AANGUKA AKIWA KATIKATI YA MAHOJIANO "LAIVU" KWENYE RUNINGAZaidi kuhusu kioja hiki BONYEZA HAPA.… Read More
TRAGIC BUT FUNNY: CHEF DIES OF HEART ATTACK AFTER EATING A PLATEFULL OF ULTRA-HOT CHILLI SAUCE IN A CONTESTTragic or funny?You decide.Read the whole story HERE… Read More
HUH!SOME WAY OF PROTESTINGBlack police officer 'wore traditional African robe to work in protest over dress code'Last updated at 5:11 PM on 14th October 2008Detective Constable Paul Bailey was found guilty of wearing an African robe, arguing with a se… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
duu hii kali aise haya mambo yanaweza kutawanya kila kiungo cha mwili kwa sekunde. mapenzi jambo la ajabu sana sijui inakuwaje mambo haya
ReplyDelete