Hawa TANESCO vipi?Kwanza walitangaza mgao wa umeme wa takriban masaa matano kwa siku kabla ya kuongeza muda na kuwa takriban masaa kumi kwa siku.Siku chache baadaye wakatangaza kuisha kwa mgao huo,lakini kwa mujibu wa gazeti la Tanzania Daima,mgao umerejea tena.Ubabaishaji wa aina hii utaendelea hadi lini?
Tuesday, 7 October 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kikwete amesema hili tatizo litakuwa histori hivi karibuni.Sitashangaa ikiwa ni kastori tu :-(
ReplyDelete