Hawa TANESCO vipi?Kwanza walitangaza mgao wa umeme wa takriban masaa matano kwa siku kabla ya kuongeza muda na kuwa takriban masaa kumi kwa siku.Siku chache baadaye wakatangaza kuisha kwa mgao huo,lakini kwa mujibu wa gazeti la Tanzania Daima,mgao umerejea tena.Ubabaishaji wa aina hii utaendelea hadi lini?
Tuesday, 7 October 2008
Related Posts:
THIS IS NOW TOO MUCH,TANESCO YATANGAZA TENA MGAO WA UMEMEHawa TANESCO vipi?Kwanza walitangaza mgao wa umeme wa takriban masaa matano kwa siku kabla ya kuongeza muda na kuwa takriban masaa kumi kwa siku.Siku chache baadaye wakatangaza kuisha kwa mgao huo,lakini kwa mujibu wa gazeti … Read More
Kikwete Atuambie Uhuni Huu wa Mgao wa Umeme Hadi Lini?Majuzi,msomaji mmoja wa blogu hii alinitumia maoni ambapo pamoja na mambo mengine aliashiria kuwa nina chuki dhidi ya Rais Jakaya Kikwete.Msomaji huyo aliyejitambulisha kuwa mkazi wa hapa Glasgow alidai (namnukuu) "...I know … Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kikwete amesema hili tatizo litakuwa histori hivi karibuni.Sitashangaa ikiwa ni kastori tu :-(
ReplyDelete